skip to main |
skip to sidebar
WAKAZI WA MLANDIZI WAJITOKEZA BARABARANI KUUAGA MWILI WA NGWEA
Hapa
ni Miembe 7 karibu na Mlandizi Pwani, hawa ni baadhi ya mashabiki wa
Marehemu Ngwea waliojitokeza barabarani kuuaga mwili unaopita kwenda
kuzikwa Morogoro.(Picha na Millard Ayo)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi