WAFAHAMU MABALOZI WAPYA WALIOAPISHWA LEO NA RAIS KIKWETE

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China.
sa5,4, 1:Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu  na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Makatibu wakuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
(PICHA NA IKULU)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo