TAZAMA PICHA ZA MAZISHI YA MUME WA KHADIJA KOPA MAREHEMU JAFFAR ALLY

Mwanamuziki Khadija Kopa akilia kwa uchungu kufuatia kifo cha mumewe aliyezikwa hii leo
waombolezaji wakipeleka mwili wa marehemu kaburini
Waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la mume wa Khadija Kopa, marehemu Jafarri Ally
Picha kwa hisani ya addiface Jackson


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo