Picha
za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith
William Moshi, aliye fariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto
jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe
15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013..
TAZAMA PICHA MAZISHI YA KIONGOZI WA CHADEMA ALIYEKUFA KWA KUPIGWA BOMU ARUSHA
By
Unknown
at
Thursday, June 20, 2013