skip to main |
skip to sidebar
PICHA ZA MAANDALIZI YA KUUAGA MWILI WA MANGWEA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO






Kufuatia
umati wa watu uliojitokeza jana kuupokea mwili wa mangwea,familia ndugu
na jamaa kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya mkoa wa
morogoro,kwa pamoja wameamu shughuri za kuaga mwili wa msanii huyo
zifanyike ndani ya uwanja wa Jamhuri badala ya nyumbani kwa mama mangwea
Kihonda Mazimbu Road.
CREDITS:GPL
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi