MWILI WA MANGWEA WAFIKA SALAMA KWAO MOROGORO


 UMATI WA WATU WAKIWA NYUMBANI KWA MANGWEA.
ASKARI AKIONGOZA MSAFARA ULIOBEBA MWILI WA MANGEA MIKESE MKOANI MOROGORO  AMBAPO ULIPOKELEWA NA WASANII WA FANI MBALIMBALI WAKATI UKITOKEA DAR ES SALAAM

PICHA JUMAMTANDA
 MASHABIKI WA NGWEA WAKIWA WANAKIMBIA SAMBAMBA NA GARI LILILOBEBA MWILI WA NGWEA MIKESE.
 MSAFARA WA MAFARI BARABARA ENEO LA MKAMBARANI ULIKUWA HIVI.
 HAPA MKAMBARANI, KULIA NI BASI LA BM LIKIVURUGA MSAFARA HUO.
MASHABIKI WA MANGWEA WAKIWA KATIKA KANDO YA BARABARA KATIKA MZUNGUKO WA MSAMVU MOROGORO WAKATI MSAFARA UKIELEKEA NA AUDIFACEAJACKSON BLOG NYUMBANI KWA MANGWEA KIHONDA.
 
 MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.
BASI LA ABOOS AMBALO LILIWABEBA WASANII WA FANI MBALIMBALI, HAPA LIKIWA MIKESE WAKISUBIRINA  MSAFARA WA ULIOBEBA MWILI WA MANGWEA.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo