MWANA FA AVUNJA UKIMYA, SIKILIZA AKIZUNGUMZIA UGOMVI WAKE NA LADY JAY DEE

Mara baada ya masikio na vichwa vya watu kutapakaa story ya kutoelewana baina ya Mwanamuziki Lady jay Dee na mwana FA, hatimaye mwana FA ameamua kuzungumza kuhusu hali hiyo

Bonyeza hapa chini kusikiliza alichokisema


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo