MTOTO wa King Majuto ''Hamza King Majuto'' Baada ya kufanya mahojiano mafupi na mwandishi wa Masai Nyotambofu kupitia ujumbe wa Simu ya mkononi, ''Hamza'' alikanusha
kuwa baba yake hajawahi kujihusisha na mtandao wowote wa kijamii hivyo
yeyote Anaetumia Jina la Baba yake kwenye mtandao wowote wa kijamii yeye
atamfuatilia nakumchukulia hatua za kisheria maana Si sahihi kutumia jina la mtu bila ridhaa yake, Aidha kwenye Facebook, twitter, BBM, INSTERGRUM na mingiyo. Yeye atakomaa nao sheria itafuata mkondo wake. Baadhi ya kurasa alizo zibamba hizi hapa chini.
Hizi
hapa juu na chini ndizo kurasa za facebook alizozinasa Hamza King
Majuto zikitumia Jina la mchekeshaji nguli hapa nchini King Majuto
kinyume cha Sheria.



