Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume
wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni
wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.PICHA WAOMBOLEZAJI WAKIELEKEA KUMZIKA MUME WA KHADIJA KOPA
By
Unknown
at
Friday, June 07, 2013
Wakazi wa mtaa wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mume
wa Khadija Kopa, Jafary Ally ambaye ni Diwani wa CCM kata ya Magomeni
wakati wakielekea makaburi kwa ajili ya shughuli za mazishi.