Baadhi
ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara
wakitoa heshima za mwisho kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika mjini
Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Padre
wa Kanisa Katoliki Parokia ya Moshi Mjini, akiongoza ibada ya mazishi
ya Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara iliyofanyika eneo la Rau, nje
kidogo ya mji wa Moshi, Kilimanjaro juzi.
Mke
wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (wa pili kulia waliokaa)
akifarijiwa na baadhi ya wajukuu zake, wengine ni ndugu jamaa na
marafiki zake wakimfariji.
Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (katikati) akiwa kwenye mbada ya mazishi ya mumewe juzi.
Mtoto
wa marehemu mzee Constantine Munishi Kyara, Oscar Munishi (wa kwanza
kushoto) ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania
jijini Dar es Salaam wakiwa na mkewe kwenye ibada ya mazishi.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara wakiwa msibani.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara.
Baadhi ya wajukuu wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, wakibeba jeneza la babu yao kuelekea kaburini.
Baadhi
ya wajukuu wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, wakisaidiana na
baadhi ya waombolezaji kushusha mwili wa babu yao kaburini.
Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (aliyeshika taji) akiweka taji hilo kwenye kaburi la mumewe juzi.
Mtoto
wa marehemu mzee Constantine Munishi Kyara, Oscar Munishi ambaye ni
mfanyakazi wa Airtel Tanzania Dar es Salaam wakiwa na mkewe wakiweka
taji kwenye kaburi baada ya mazishi.
Mmoja wa mjukuu wa marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, akisoma historia fupi ya babu yake.