Wananchi wa Zizi la Ng'ombe mjini
Iringa wakiwa kando ya gari ambalo marehemu alijificha chini ya
uvungu baada ya kupigwa risasi na majambazi hao
Mwili wa marehemu huyo aliyetambulika kwa jina la baba Daudi ukiwa katika gari la polisi
Huu ndio mwili wa marehemu huyo baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikika kuwa ni majambazi leo
Hapa penye damu ndipo alipopigwa risasi
Askari polisi wakiushusha mwili huo tayari kuuhifadhi chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa