skip to main |
skip to sidebar
LEO NI SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Leo
ni siku ya Mazingira Ulimwenguni, na kauli mbiu ya mwaka huu ni
"Fikiria, Kula na Uhifadhi Mazingira".
Siku hii hutumiwa na Shirika la
Umoja wa Mataifa la kutunza Mazingira - UNEP kuwafahamisha watu kote
ulimwenguni kuhusu uharibifu inaofanywa, na kuwataka wachukue hatua.
Katika visiwa vya Pemba, kuna Shirika moja lisilo la kiserikali
linaloshughulika na hifadhi ya mazingira linalojulikana kama – Community
Forests Development, na limefanikiwa kupanda miti milioni moja katika
kampeni ya kuwahimiza wananchi kuhifadhi mazingira.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi