LEO NDIYO LEO BAJETI KUU YA SERIKALI 2013/2014


Leo ndiyo siku ya kukata kiu ya watanzania kufahamu hatma yao kwa mwaka wa fedha 2013/2014 kutokana na bajeti ya serikali kama ina unafuu ama maumivu kwao

Ni hapo saa kumi kamili jioni bajeti itaanza kusomwa bungeni Dodoma na waziri wa fedha Dk Willium Mgimwa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo