MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Hai, Freeman
Mbowe akitoka Polisi baada ya kuhojiwa jana, wa pili kulia ni Mbunge wa Musoma mjini-Chadema Vicent Nyerere.
MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe (wa pili kulia)
akiongozana na Mbunge wa Arusha mjini-Chadema, Godbless Lema(wa kwanza kushoto) wakitoka Polisi
baada ya kuhojiwa jana katikati ni mbunge wa musoma mjini-Chadema Vicent Nyerere.