Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake
ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka
atoke Rumande kwa dhamana.
Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni Lulu ameongelea mambo
mengi hasa hasa 'experience' yake ya maisha ya jela na mambo mengine mengi.
Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika.
“Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks Zamaradi….”
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi