Kipa wa Yanga, Ali Mustafa Bartez, akiokoa mpira wa penalti iliyopigwa
na Mussa Mude wa Simba (kushoto) kwenye pambano la ligi kuu ya soka ya
Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo klabu ya Yanga
African ameifunga klabu ya Simba sport kwa mabao 2-0 bao la kwanza
limefungwa na kavumbago na pili limefungwa na Hamis Kiiza
