Mtoto Rooney Aldo Sanga kwenye party yake
Mc Riziki Manfred(Bonzuma) akifurahia jambo
Wadau wakipata soda
Riziki Manfred, Aldo Sanga na Sarah sanga wakicheza muziki
Wadau wakipata msosi kwa pamoja
Aldo Sanga akipewa zawadi kwa niaba ya mwanaye ambaye ameuchapa usingizi kwa muda huo
Jamaa inaonekana anapenda zawadi balaaa maana alivyofurahi, mmmmmmmmmh
nami sikuwa mbali kwenye party hiyo, kulia kwangu ni muigizaji wa kundi la sanaa la mchana hazarani Dizzo Dumzi akitafakari jambo
Aldo akiwa na mama mtoto wake wakicheza pamoja
Mtandao huu unawatakia wote maisha mema na mumkuze mtoto wenu katika maadili mema na ya kumpendeza Mungu na wanadamu pia
Mama mlezi wa Aldo Sanga