MAJI YANAPOVUJA OVYO HALAFU WENGINE HAWAPATI DUUUUUH

Ingawa mji wa Makete  mkoani Njombe kwa hivi sasa unakbiliwa na upungufu wa maji, lakini mwandishi wetu amekuta maji yakitiririka ovyo mitaani kutokana na bomba kupasuka na kuvujisha maji katika kitongoji cha Dombwela wilayani hapo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo