Wananchi wakimuhoji mfanyabiashara wa maji aliyedaiwa kuuza maji feki tukio hili limetokea leo jijini Dar es Salaam.
Mfanyabiashara wa maji aliyetambulika kwa jina la Kigira Mhisho(15) akimwaga maji baada ya kubainika kuwa anauza maji bandia
Wananchi wakifuatilia mzozo baina ya mfanyabiashara wa maji na mteja wake baada ya kubainika kwamba amemuuzia maji bandia
======
Mfanyabiashara huyo ametambulika kwa
jina la Kagira Mhisho mwenye umri wa miaka 15 inaseemekana kuwa amekuwa
akifanya biashara hiyo kwa kutumia maji kutoka sokoni kariakoo kwa
takribani miaka mitatu sasa.