Hili ni jalala ambalo lipo kwenye Hoteli moja maarufu hapa wilayani Makete, kama unavyoona mwenyewe lilijaa na wakachimbua na kuzisogeza hizi taka pembeni na nyingi inaonekana si za kuoza, je mwisho wa hili ni nini jamani? Hii ni hatari wa watoto ambao wanaweza kwenda kukuchezea eneo hili na yakawakuta ya kuwakuta ama pia taka hizi kupeperushwa kwa upepo kuelekea mitaani