Wafanyakazi tawi la TCCCo, kiwanda cha kukoboa Kahawa wakiwa ktk maandamano.
Wanyama waliokaushwa, kutoka Wizara ya Malia Asili na Utalii.
Jonia
Bwakea, Afisa Habari wa KNCU, akikabidhi zawadi ya Kahawa inayokaangwa
na kufungashwa na KNCU kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Mh.Leonidas Gama wakati wa sherehe za siku ya Mei Mosi zilizofanyika
ndani uwannja wa Chuo cha Ushirika Moshi.
Sheli inayotembea, ukiishiwa mafuta popote ulipo mjini Moshi, huna haja ya kukimbia sheli na kidumu, unapiga simu namba
Wadau wa zao la Kahawa TaCRI nao walikuwepo kwenye maandamano.
Moja ya kivutio kutoka kutoka Wizara ya Utalii na Maliasili.
Bajaji
iliyotengenezwa kama ndege, kuonesha kazi zinazofanywa na kiwanja cha
kimataifa cha ndege cha KIA (Kilimanjaro International Airpot)
Msururu wa Mgari ukipita kwenye kikuta shoto maarufu mjini Moshi kama cha Cocacola.