DKT SHEIN AZINDUA RASMI MBIO ZA MWENGE HII LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa kwa kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,(kulia) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Tanzania Bara,Dk.Fenella Mukangara,na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar Mohamed,(kushoto).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za Mwenge Juma Ali Sima,(kushoto) kutoka Mkoa wa Kusini Unguja,baada kuzindua rasmi mbio hizo Kitaifa huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa baada ya kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,mbele ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.Picha na Ramadhan Othmna,IKULU-Zanzibar


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo