CHONDECHONDE MNAOKARABATI BARABARA YA MAKETE-NJOMBE MSISAHAU HAPA JAMANI

Kamera etu imekutana na hii hali katika kipande cha barabara ya lami Makete-Njombe jirani na mpaka wa kata ya Tandala na Mag'oto ambapo panabomoka na sababu mtandao huu haukuifahamu mara moja!Kutokana na ukarabati wa barabara unaoendelea hivi sasa tunawaomba wahusika wasisahau kurekebisha kingo hizi za barabara ambazo zinaashiria harati kubwa endapo itaachwa hivi hivi
Upande wa kulia wa picha hii kuna bonde kubwa sana na ndiyo maana mafundi wa barabara hii waliweka hivi ili barabara isimeguke lakini hali halisi ndiyo hii


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo