BREAKING NEWS: SPIKA MAKINDA AAHIRISHA BUNGE KUTOKANA NA VURUGU ZA MTWARA

Spika wa bunge Anne Makinda amelazimika kusitisha shughuli za bunge hadi kesho asubuhi kufuatia vurugu zilizoibuka huko Mtwara hii leo

Sababu za kuahirisha bunge ni kutoa nafasi kamili kwa serikali kuja na taarifa kamili ya vurugu hizo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo