UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO JUMAPILI APRILI 28, 2013

           WIZARA YA UCHUKUZI
                      MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
        S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
   TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 28/04/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika
maeneo machache  na vipindi  vya  jua.
 [Mikoa ya Tabora ,Ruvuma, Lindi  na Mtwara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
 [Mikoa ya Rukwa, Iringa na Mbeya]:
[Mkoa wa Morogoro]: 


Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
12:33
D'SALAAM
32°C           
12:19
DODOMA
28°C
12:34
KIGOMA           
27°C
12:59
MBEYA
24°C
12:40
MWANZA
29°C
12:49
TABORA
29°C
12:47
TANGA
30°C
12:22
ZANZIBAR
31°C           
12:19
PEMBA
30°C           
12:22
MOROGORO
29°C           
12:26

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka  Kusini mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani yote 
 
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumapili: 28/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/04/2013. 

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo