AJALI MBAYA YA LORI LA MAFUTA YATOKEA MKOANI PWANI

MMOJA WA DEREVA KATI WA LORI AKIWA AMEKAA CHINI BAADA YA KUVUNJIKA MIGUU KISHA MUDA MFUPI KUFARIKI DUNIA KATIKA BARABARA KUU YA MOROGORO-PWANI ENEO LA BWAWANI MKOA WA PWANI AMBAPO WATU WATATU WALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA LORI NA TANKI LA MAFUTA KUGONGANA USO KWA USO MARCHI 31/ 2013.
PICHA KWA HISANI YA MDAU, CHARLE MUHIKWA.
LORI LIKIWA LIMEANGUKA NA KUHARIBIKA VIBAYA BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.


DEREVA WA LORI AKIWA AMEKATIKA MIGUU KABLA YA KUFARIKI DUNIA MUDA MFUPI KATIKA AJALI HIYO.



LORI LIKIWA LIMEZIBA BARABARA BAADA YA KUTOKEAA AJALI HIYO NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA KWA MAGARI YALIYOKUWA YAKITUMIA BARABARA HIYO KUTOKA KWENDAA DAR ES SALAAM NA MOROGORO.PICHA ZOTE NA EMMANUEL SHILATU BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo