Wengi bado wanamaswali kama hakuna mgawo wa umeme mbona, unakatika muda mrefu hivyo? na kama ni matengenezo mbona hayaishi? Msikilize Badra Masoud akijibu yote hayo kwa kubofya hapo chini
TANESCO: HAKUNA MGAWO WA UMEME, NI MATENGENEZO TU NDIYO MAANA UMEME UNAKATIKA! SIKILIZA KAULI YAO HAPA
By
Unknown
at
Saturday, March 02, 2013