CHAMA CHA CUF CHAFANYA MKUTANO MKUBWA ZANZIBAR

01 f64dd
-Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu wakushoto akiwa na Mkurugenzi wa Habari,Uwenezi na Mawasiliano ya Umma wa CUF Salum Abdallah Bimani wakisikiliza kwa makini risala ya vijana wa jimbo la Kwamtipura katika mkutano wa hazara uliofanyika katika kiwanja cha mpira kwamtipura.
 Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
02 1cbfb
Wananchi wa Jimbo la Kwamtipura wakisikiliza kwa makini hutuba ya Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu hayupo pichani katika Mkutano wa hazara uliofanyika huko katika kiwanja cha mpira kwamtipira.
03 d95ce
-Mwakilishi wa Mji Mkongwe ambae pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF Ismail Jusa Ladu akihutubia wananchi wa Jimbo la Kwamtipura katika Mkutano wa hazara uliofanyika ktk kiwanja cha mpira kwamtipira.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo