Pichani juu na chini ni baadhi ya abiria wakiwa nje ya basi la
Kilimanjaro Express lenye namba za usajili T860 BVA walilokuwa
wamepanda wakitokea jijini Dar kuelekea jijini Arusha mapema leo
asubuhi.
Ajali hiyo imetokea eneo la Mombo ambapo chanzo chake kinaelezwa kuwa dereva wa basi hilo alikuwa akimkwepa mwendesha baiskeli, matokeo yake basi hilo likakosa mwelekeo na kupinduka. Katika jali hiyo inaelezwa kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa lakini hakuna aliyepoteza maisha.(Picha na Issa Michuzi)