Habari zilizotufikia punde zinadai kuwa msanii mahiri kutoka kundi la TMK wanaume halisi anayefahamika kwa jina la BK amefariki dunia leo asubuhi akiwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa ini katika hospitali ya Taifa Muhimbili
Miongoni mwa nyimbo za kundi hilo ambalo lina maskani yake wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, na sauti ya BK kusikika ni Ndege tunduni
Habari zaidi endelea kufuatilia mtandao huu
