Maroba yenye viazi yakiwa yameungezwa ukubwa unaoitwa rumbesa ambao
wakulima wa viazi huibiwa na wanunuzi,kitendo ambacho Serikali inakipiga
vita lakini mamlaka husika ikilifumbia macho suala hilo linalowaumiza
wakulima ambao ndio wazalishaji
viazi vilivyonunuliwa kwa wakulima vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda sokoni viazi vikiwa vimefunikwa kwa turubai kata ya Madope wilayani Ludewa ambako wanunuzi wanawaibia wananchi kwa kuweka Rumbesa