BREAKING NEWS: KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR USIKU WA KUAMKIA LEO

 Picha na maktaba

Watu wasiojulikana wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia kanisa moja huko visiwani Zanzibar na kuanza kurusha mawe kwenye kanisa hilo, hali iliyopelekea mlinzi wa kanisa hhilo kutimua mbio kunusuru maisha yake

Baada ya mlinzi huyo kukimbia watu hao walivamia kanisa hilo na kuanza kuchoma moto viti vya plastiki vya kanisa hilo zaidi ya 30

hadi polisi wanafika eneo la tukio baada ya kupewa taarifa na mlinzi huyo, viti hivyo vilikuwa vinateketea kwa mtoto na hawakufanikiwa kuviokoa

Habari zaidi utazidi kuzipata hapa

Source:ITV


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo