Meneja wa tawi la CRDB Njombe, Alison Andrew akiongea na watoto wa
kituo cha Tumaini
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akiongea na watoto wa kituo cha
Tumaini
Mkuu wa kituo cha Tumaini, Sister Coletha Ponela (kushoto) akifuatana na
mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba pamoja na maofisa wa benki ya CRDB
wakielekea ukumbi wa kituo cha Tumaini.
Watoto wa kituo cha Tumaini wakiimba mbele ya mkuu wa wilaya na wageni
kutoka benki ya CRDB
Mkuu wa wilaya ya Njombe Mhe Sara Dumba akikabidhi zawadi
Maafisa wa Benki ya CRDB wakishusha zawadi walizotoa kwa watoto wa kituo
cha Tumaini
Wafanyakazi wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika
picha ya pamoja
Wafanyakazi wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika
picha ya pamoja
Wafanyakazi wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika
picha ya pamoja
Katika kuishukuru jamii ya wakazi wa Njombe kwa kuliwezesha tawi la
Benki ya CRDB Njombe kupata mafanikio makubwa kibiashara katika mwaka
2012, benbki hiyo liliandaa zawadi kwa watoto yatima wa kituo cha
Tumaini Ilunda kilichopo Njombe pia tawi likaandaa tafrija fupi
iliyohusisha wateja wa benki na wadau wengine wa Benki wa mkoani Njombe.
Tukio la zawadi kwa watoto yatima wa lilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya
Njombe, Mhe Sarah Dumba