Filikunjombe akikata utepe katika ziara yake kijiji cha Ludende
katibu wa mbunge wa jimbo la Ludewa Bw.Stanrey Gowele akiwaeleza jambo
waandishi wa habari ndani ya boti kushoto ni Festus Pangani mtangazaji
wa kituo cha radio cha Best FM kilichoko Ludewa mjini katikati ni
mwandishi Bw.Nickson Mahundi,picha ya juu ni Mbunge
Filikunjombe akigawa vifaa vya michezo kwa vijana wa kijiji cha ndoa
kata ya Makonde.
Mwandishi wa mtandao Bw.Nickson Mahundi akifurahi jambo katika ziara ya
Filikunjombe ziara hiyo ilifanyika hivi karibuni katika kata za mwambao
wa ziwa nyasa wilayani Ludewa kwa kutumia usafiri wa boti.PCHA NA NICKSON MAHUNDI