Kijana mmoja ambaye jina lake
halikuweza kupatikana mara moja akilia kwa uchungu mara baada ya kupokea
kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mara baada ya kudaiwa
ameiba nyama ya Nguruwe (Kitimoto) pamoja na Bia katika glosali jijini
Dar es Salaam.
Mmoja ya wasamalia wema akimtetea kijana huyo ambaye alipokea kichapo.
Akijitetea.
Akisaidiwa na wasamalia wema.
Kijana anaedaiwa kuiba nyama ya
Nguruwe (Kitimoto) na bia katika glosali iliyopo Namanga jijini Dar es
Salaam. Picha zote kwa hisani ya John Dande.