WAZIRI MKUU PINDA ASALIMIA MAJIRANI ZAKE

  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiuliza bei ya nyama ya mbuzi akiwa katika kijiji cha Kibaoni.
 Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwasalimia majirani zake na kuwatakia heri ya mwaka 2013 kijijini kwao kibaoni katavi pichani anaonekana  akiwa ana wasalimu mzee Bernard Malyatabu Mayala (88) akiwa na mkewe bibi Bernadetha Kabandime Msuluba (79) mh waziri mkuu yupo kijijini kwao kibaoni kwa mapumziko ya krismasi na mwaka mpya.Picha na Chris Mfinanga


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo