Msichana
aliyeitwa Elizabeth Patrick (Eliza) Ambae amekamatwa na jeshi la Polisi
Kanda ya Kinondoni kwa tuhuma za kumtishia maisha mwandishi wa blog

-------------------------------
Jeshi
la Polisi Kanda ya Kinondoni linamshikilia mmoja wa wakina dada
waliopiga picha za uchi kwa tuhuma za kumdhalilisha mwandishi wa habari
wa blog pamoja DTV bwana Livingstone Mkoi kwa kumtolea lugha za
matusi kwa njia ya mitandao ya simu.
Habari
za uhakika zilizothibitishwa na mwandishi huyo zilisema kuwa”Ni kweli
jeshi la polisi limemkamata mmoja wa wasichana walipoiga picha za uchi
ambazo zililipotiwa na blog hii hivi karibuni kwa tuhuma za kunitukana
na kunitishia Maisha”
Aidha
akizungumzia zaidi tukio hilo mwandishi huyo alisema kuwa baada ya
kupatikana picha hizo za aibu ambazo hazifai hata kuziona alimpigia simu
mmoja wa wasichana hao aliyefahamika kwa jina la Editha Adolf
a.k.a Eliza kwa lengo la kubalansi stori na baada ya kumshushia tuhuma
hizo aliambulia matusi makali pamoja na vitisho vya kutekwa harafu
afanyiwe kitu mbaya ndipo alipojisalimisha polisi na kupewa taarifa
OB/903/2013 KUTOA LUGHA YA MATUSI KUPITIA
MTANDAO.
Katika
tukio hilo Editha Adolf a.k.a Eliza ndiye aliyekuwa wa kwanza
kukamtwa ambapo alikamatwa katika nyumba ya kulala wageni ya Summit
iliyopo Kinondoni Mkwajuni ambapo mtuhumiwa namba mbili aliyefahamika
kwa jina la Lukia Laus bado anatafutwa na jeshi hilo ambapo
atakapokamatwa ataunganishwa kwenye kesi hiyo.
Aidha
akizungumza na mwandishi wetu Mkuu wa Kituo cha Polisi Kinondoni
OCD.Mtafungwa alisema kisheria ni kosa kumtishia mtu Maisha pamoja na
kutukana .Hayo yote ni
makosa, hivyo ni lazima sheria ichukuwe mkondo
wake.
wasichana
hao wamekuwa na tabia ya
kujifanya wanafunzi ili wajipatie wanaume wa kishua ambao mara nyingi
hupenda wanafunzi.
Uchunguzi wa kina uliofanywa na Xdjayz umebaini wasichana hao hawasomi popote isipokuwa wanajishughulisha na biashara ya kuuza miili yao.
Uchunguzi wa kina uliofanywa na Xdjayz umebaini wasichana hao hawasomi popote isipokuwa wanajishughulisha na biashara ya kuuza miili yao.
Imeripotiwa na Xdjayz wa MPEKUZI BLOG