Ndege iliyomchukua Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo (DRC) ikiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013. Kiongozi huyo
amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjpokea Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari
30,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha maafisa mbalimbali Rais
Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
mchana wa leo Januari 30, 2013


