PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA KUHUSU GESI MTWARA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara, Januari 28, 2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mfanyabiashara wa Mtwara, Fatuma Embe akichangia katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu gesi kwenye ukubi wa VETA mjini Mtwara.

Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mtwara wakinyosha mikono kuomba nafasi ya kuchangia katika mazungumzo kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo