NYUMBA ZANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO ULIOTOKANA NA HITILITAFU YA UMEME MLANDIZI

KIJANA Abubakar Salum akimuonesha mwandishi shoti ya umeme iliyounguza soketi inayoingiza moto ndani ya nyumba hiyo.
 WAKAZI wa Mlandizi wakimuonesha waya ulioanguka na kusababisha shoti kubwa, waya ambao umetoka kwenye nguzo yenye ukubwa wa KV33 ambao umesababisha nyumba zaidi ya 50 kunusurika kuteketea kwa moto.
 WAKAZI hao wakionesha nguzo ya umeme iliyopita juu ya paa za nyumba zao hali inayolalamikiwa na wakazi hao.
MKAZI Rajabu Mbawala akiwa ameshika mshikio wa waya unaoshikilia waya zinazowekwa kwenye nguzo za umeme ambao umeanguka muda mfupi baada ya mazungumzo kati ya wakazi hao mwandishi hali iliyosababisha taaruki. PICHA ZOTE NA MDAU SAID MWENGE


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo