MOROGORO YAKUMBWA NA MAFURIKO


 Mvua kubwa iliyonyesha Morogoro jioni ya leo imesababisha mafuriko katika mtaa wa Morogoro.Mvua hiyo iliyoanza kunyesha kuanzia saa tisa alasiri imenyesha takribani kwa masaaa mawili imesababisha mafuriko katika barabara ya Msavu kuingia katikati ya mji hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa magari.
 Maji yakiwa yamejaa eneo la mtawala baa ya ya mvua kubwa kunyesha jioni hii mkoani Morogoro
 Mafuriko hayo yaliingia katika makazi ya watu na hapa ni mashine za kukoboa mpunga wakiwa wamesimamisha kazi zao baada ya maji kuinia ndani.



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo