MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia
-
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia
amesema yaliyomkuta
kwenye yake ziara mkoani Mtwara ambako amelazimika kuikatisha,
yametokana na umbea aliouita ni wa mwaka 2013.
Mbatia ambaye pia ni Mbunge wa Kuteuliwa
na Rais, alisema hayo jana kwenye Ofisi za Bunge Dar es Salaam.
“Unasemaje (anamuuliza mwandishi), ngoja
nikwambie kilichotokea kimetokana na umbea tu wa mwaka mpya 2013, wewe
tambua hivyo na sitazungumza lingine zaidi,” alijibu kwa kifupi
akionyesha kukwepa kulizungumzia suala hilo zaidi.
Baadhi ya vyombo vya habari nchini viliripoti kuhusu Mbatia akiwa na wabunge wa chama chake, Moses Machali (Kasulu Mjini ) na Agripina Buyogela (Kasulu Vijijini) walilazimika kujifungia ndani ya ofisi za NCCR- Mageuzi wilayani Mtwara Mjini.Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.........>>>>