Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na
Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi
ya viongozi wa Wizara ya Afya na wa Mkoa wa Arusha, wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa
Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza
leo, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na
viongozi wa Mkoa wa Arusha wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa
Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza
leo, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa
Afya wa Rwanda, Agnes Binagwaho, baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa
wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini
Arusha.
Baadhi ya washiriki wa mkutano
huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi wa na waratibu wa mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya
ngoma ya asili wakati akiondoka katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa
wa AICC baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha
Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Picha zote na Ofisi ya Makamu wa
Rais






