HII NI 'SPECIAL' KWA AJILI YA WACHAGA

MOSHI        = Mungu Onesha Sehemu Hela Ilipo;

- ROMBO       = Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba;

- HIMO           = Hata Ikipungua Mungu Ongeza;

- MARANGU   = Mungu Angalia Raia na Ngawira Utuhakikishie;

- MAMBA        = Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira;

- MWIKA        = Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti;

- URU               = Usitunyime Riziki na Uchumi;

- KIBOSHO     = Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza;

- MACHAME    = Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni Endelevu

- KISHIMUNDU =Kwetu Ikikosekana Shilingi Mungu Nakuapia Dunia Utaichukia!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo