skip to main |
skip to sidebar
AJALI YA DALADALA YASABABISHA FOLENI MAGOMENI DAR ES SALAAM
Abiria katika daladala lililokuwa linasafiri kutoka Mwenge kwenda
Kariakoo, wakiwa wamekwama kuendelea na safari baada ya daladala hiyo,
kugongangana na gari ndogo, eneo la Magomeni Mapipa jijini Dar es
Salaam, asubuhi hii. Mbali ya kusababisha adha kwa abiria pia tukio hilo
lilisababisha foleni kutokana na magari mengine kushindwa kupita.
dereva wa daladala na wa gari dogo wakijaribu kutafuta suluhu kabla ya
Polisi wa Usalama Barabarani kufika eneo la tukio.(Picha zote na Bashir
Nkoromo)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi