USAFIRI BARABARA YA SUMBAWANGA KERO TUPU

Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo,imesababisha sehemu ya barabara itokayo Sumbawanga kwenda Mbeya, kuharibika eneo  la kijiji cha Kianda,Sumbawanga

 Basi likiwa limekwama leo asubuhi,kijiji cha Kianda Sumbawanga
Basi likiwa linavutwa na 'greda' leo asubuhi kijiji cha Kianda Sumbawanga.

    Picha zote na kikosi cha  Mjengwa Blog-Sumbawanga


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo