MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA JENGO JIPYA LA OFISI ZA KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NDANI NA NJE YA NCHI (DHL)


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi Kulwa (kulia) wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa huduma kwa Wateja upande wa uingizaji wa mizigo, Ebtisam Bobsaith (kushoto), wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza (wa pili kushoto) ni Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi Kulwa na (wa tatu kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. Picha na OMR
 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo  wakati akiendelea kutembelea katika jengo hilo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, DHL wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jengo hilo, iliyofanyika leo Desemba 07, 2012 katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, wakifunua kitambaa kwa pamoja kuwashiria uzinduzi wa jengo jipya la Kampuni ya Usafirishaji wa Mizigo ndani na nje ya nchi (DHL), wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo, Desemba 07, 2012, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, mara baada ya uzinduzi wa jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki. Picha na OMR


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo