Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (wa kwanza kulia) akikagua mfumo wa maji taka katika Hotel ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwana na Dkt. Robert Ntakamulenga kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (katikati) akitoa amri ya kuifunga hotel ya Double Tree kutokana na kutiririsha maji taka baharini. Wa kwanza kushoto ni Bw. Karim Kanji - Mkurugenzi Mkazi wa hotel hiyo. 
Hotel ya Double tree iiliyofungiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, kutokana na kutiririsha maji taka baharini. Hotel hiyo imefungwa hapo jana.Picha na Ali Meja
Hotel ya Double tree iiliyofungiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, kutokana na kutiririsha maji taka baharini. Hotel hiyo imefungwa hapo jana.Picha na Ali Meja