Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati) akiwa katika mahakama
ya rufaa wakati wa hukumu ya rufaa ya mbunge wa Arusha mjini, Godbless
Lema leo
Wakili wa Godbless lema, Tundu Lissu (katikati)
Mbunge
wa Arusha mjini, Godbless Lema akilakiwa na wafuasi wa Chama cha
Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) baada ya kushinda rufaa yake ya kupinga kuvuliwa
ubunge wa
Arusha mjini katika Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam.
Wafuasi
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na mbunge wa
Arushja Mjini, Godbless Lema kuelekea makao makuu ya chama hicho
Kinondoni
jijini Dar es Salaam
Wafuasi
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na mbunge wa
Arushja Mjini, Godbless Lema kuelekea makao makuu ya chama hicho
Kinondoni
jijini Dar es Salaam
Wakili
wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, Tundu Lissu akizungumza na
wafuasi wa
chama hicho makao makuu ya Chadema jijini Dar es Salaam
Mbunge wa Ubungo John Mnyika akizungumza na wafuasi wa Chadema makao
makuu ya chama hicho leo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema)
Freeman Mbowe akizungumza na wanachama wa chama hicho waliokusanyika
makao
makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana baada ya mbunge wa Arusha
mjini
Godbless Lema kushinda rufaa yake ya kupinga kuvuliwa ubunge katika
jimbo hilo.
Mbunge
wa Arusha Mjini, Godbless Lema akizungumza
na wafuasi wa chama hicho waliokusanyika makao makuu ya chama hicho
Kinondoni
jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema),
Dk. Willibrod Slaa akizungumza na wafuasi wa chama hicho.