Mnyika akiwa na Ng'humbi mahakamani
Hawa Ng’humbi kupitia kwa wakili wake ameomba rufaa iondolewe mahakamani bila gharama.
Ilikuwa ni baada ya maombi aliyotoa mapema kwa Wakili wa mujibu rufani, John Mnyika kwamba aruhuhusiwe kuchomoa na asamehewe gharama za kesi hatua ya rufaa.